Ongeza kwa ukuta

Ongeza kwa ukuta

Wengi wetu tumepoteza wapenzi wetu walioambukizwa na virusi vya COVID-19. Kwa sababu ya hatari iliyeko bado, kuhusu upungufu wa chanjo kutokana na ubaguzi wa kuisambaza. Tunatarajia wengi wetu tutaendelea kupoteza idadi zaidi ya wapenzi wetu. Chama hiki (People’s Vaccine Alliance) umoja wa waliochanjwa wameunda hii nafasi ya kuomboleza na kukumbuka waliopoteza maisha yao.

Uchungu na hasira zenu kutokana na vile mumeadhiriwa na maafa ya COVID-19 ndio ya paswa kusemwa hapa pamoja na vile chanjo zinarundikwa na kutupwa bila kusambazwa, hasara bure.

Huku wengi wetu wazidi kuambukizwa na kuaga dunia huu ugonjwa uko nasi bado, viongozi na kampuni za madawa ina paswa tuwa chukulie hatua kali kwa vile walivyo husika na vifo dhidi ya huu ugonjwa.Ulafi wao na kutojali maisha ya waliopotezwa na COVID -19, inapaswa kuwashtaki na kuakashif kwa sira zilizo fatwa.

Ni madhambi makubwa kuhusu vile chanjo iko tele huko Ulaya bali huku kwetu janga la ukosefu wa chanjo latu adhiri kila kukicha.Tunataka kusambaza majina, picha, maombolezi na hadithi za wale tuliowapoteza iwe ukumbusho kwa viongozi wetu wajue waliopoteza maisha yao ni binadamu kama sisi, na ni wajibu wao waendelee kupambana na vita dhidi ya COVID-19.

Tunawahimiza msambaze kiwango chochote kile mtakacho kuomboleza wapenzi mlio poteza. Unaweza kukataa kwa kutoa idhini yako kwa kutumia barua pepe [email protected] kama wataka hadithi na picha ifutwe.

Kwa maelezo zaidi kuhusu jinsi tunavyohifadhi data na jinsi tunavyoiweka salama, soma sera yetu ya faragha.

Ongenza